VPN BORA TANZANIA 2022
VPN (Virtual Private Network) hii ni app ambazo zinasaidia watu kupata Internet ya Bure .
VPN imekuwa maarufu sasa Tanzania na watu wengi baada yakujua kuwa VPN zinatoa free internet wamekuwa wavivu sana kununua bandoπ .ila nikweli maana bando imekuwa bei juu sana .
Kwa leo nitazungumzia VPN Bora zinazotoa internet ya bure Tanzania.
1.Ha tunnel plus. Hii ni VPN maarufu sana hapa nchini Tanzania baada ya kuwa VPN ambayo inatoa free internet pia inatoa file za internet kwa baadhi ya mitandao . Hii vpn imekuwa na speed kubwa sana ⚡π― kulinganisha na VPN zingine .ila kwa sasa vpn hii imekuwa ina support mtandao wa Airtel kwa sana kulinganisha na mitandao mingine .ukitaka kutumia VPNya uhakika katika simu yako ni bora kutumia VPN hii kwa Mtandao wa Airtel. Pia kuna file ambazo zinahitajika kwa sasa katika VPN hii kwa maana Airtel imefungia host za VPN hii kutoa free internet kwahiyo inahitaji file ambazo ziko na host wa free internet. File hizi zinapatikana katika group letu la Telegram
π https://t.me/bongotechtz .
Tazama Jinsi Ya kuunganisha VPN Ya Ha Tunnel Plus
2.Wire tun .Hii ni VPN maarufu sana katika Mtandao wa tigo kwa wale wanaotumia Mtandao wa Tigo Tanzania hii imekuwa VPN bora kwa wakati kwa maana kwanza ni ulimited na haiitaji file katika kutumia ni kitendo cha Kudownload katika soko la playstore nakuanza kutumia π .ila vpn hii imekuwa inaubaguzi sana kwa maana kuna baadhi ya simu hazikubali ku connect kabisa au ita connect katika muda mfupi .simu hizi nikama samsung,IPhone ,Na baadhi Ya infinix ila sasa kwa wale watumiaji wa iphone wa na vpn zao .
Tazama jinsi ya kutumia VPN Ya Wire Tun
3.Thunder VPN. Hii ni VPN bora katika Mtandao wa Halotel hii VPN ni ulimited pia haiitaji file katika kuitumia .Vpn hii imekuwa ikifanya kazi hivi karibu kwa sasa imekuwa ikisuasua katika kufanya kazi ila kuna settings zake mpya zinakuja hizi karibuni katika group letu la Telegram
π https://t.me/bongotechtz Setting nitazituma hapo .Halotel imekuwa mtandao ambao una host za free internet ila kuna namna takutafuta hizi host za free kwa Mtandao wa Halotel .
4.Stark VPN reloded hii pia ni VPN ambayo imekuwa ikipiga kazi sana hapa nchini Tanzania katikaMtandao wa Airtel. Umekuwa ukijiuliza kwa nini Airtel ina VPN nyingi?jibu ni kwa sababu imeweka gateway nyingi ambazo zinawasaidia katika kufanya penetration testing watu wa Hacking watakuwa wamenielewa .katika vpn hii inaweza kutumia server ambazo zipo katika Vpn hiyo au kuna kutumia File ambazo zimetengenezwa kwa kutumia free internet host. Jiunge ili kuweza kupata File zote za VPN za Tanzania.
Kwa leo Naomba niishie apa tutaendela pindi nitakapp pata update mpaya kuhusu VPN za Tanzania.
Jiunge Katika Channel Yetu Ya Telegram ili kupata Update zetu za Free internet Tricks
Ahsante

Maoni
Chapisha Maoni