Machapisho

TAZAMA MOVIES NA SERIES ONLINE BILA YA KULIPIA BUREE

Picha
JINSI YA KUTAZAMA MOVIES NA SERIES MTANDAONI BURE!! Movies imekuwa mzozo sana katika kupatikana hasasa nazungumzia zile movies HD na Mpya Yani Movies inatoka mwaka huu unatazama baada Ya miaka miwili au mitatu iyo inakuwa sio vizuri movies ikitoka unaangalia mwezi na ama siku iyo iyo nasio habari za miaka ijayo. Leo napenda kuongela website ambazo zinatoa free movies yan kutazama movies Bure bila Hata ya Kulipia πŸ’° . Pia usiwaze Kuhusu Bando Maana Tumeongelea namna Ya kupata internet Ya Bure Tanzania . Katika kutazama movies kuna website ambazo zinatoa huduma hii inaitwa community licences hii ni huduma ya kutoa huduma bila ya kulipa maana kuna aina mbili za licences ya kulipia au Buree ama kitonga hivyo .leo napenda kutaja website ama tovuti zinazotoa Huduma Ya Kutazama Moviea Buree !!! Kwa leo nitaanza na website tano bora ambazo zinatoa huduma hii.🎬 1.TubiTv Hii ni website Ya Kwanza kwa leo kwa maana imekuwa ikitoa movies ambazo ni HD pia ambazo ni mpya pia ata zile za zamani pia z...

JINSI YA KU DOWNLOAD GB WHATSAPP

Picha
NAMNA YA KUDOWNLOAD GB WHATSAPP 2023 WhatsApp imekuwa mtandao mkubwa sana na maarufu kutokana na uwezo wake wa usalama ambao unatumie end-end encryption ambayo Inasaidia Mazungumzo ama chats ziwe zasili zisiwe rahisi kufukuriwa(hacked) . Ila mtandao wa WhatsApp kuna baadhi Ya Sifa ama features ambazo zinakuwepo mfano pindi unapo tuma ama kuweka status inakuwa inaoonekana katika watu ambao wana namba yako ya simu pia hawatakuwa na uwezo wa kuichukua ama kudownload status hiyo kutokana na Features hiyo haipo katika mtandao wa Whatsapp ama hautaweza kuangalia status bila kuonekana amna hautaweza kubadilisha theme ama muonekana wa Whatsapp yako .ila yotekwa yote mtetezi ni GB WHATSAPP . GB WHATSAPP NINI? Ni copy YA Whatsapp Ama nitoleo la App Ya Whatsapp ambayo imetengenezwa na Developer Wengine ambao sio wa Official WhatsApp ila system Account ni ile ile Ya whatsApp . Mambo Unayoweza Kufanya Ukiwa Na App Ya GB WhatsApp . 1.Unaweza Kubadilisha Themes au Muonekanao wa App yako 2.Unaweza uk...

JINSI YA KUONGEZA FOLLOWERS INSTAGRAM 2022

Picha
 JINSI YA KUONGEZA FOLLOWERS INSTAGRAM.  Instagram imekuwa mtandao ambao umekuwa mkubwa sana na maarufu duniani .leo tutazungumzia namna ya kuongeza Followers instagram .     INSTAGRAM FOLLOWERS

JINSI YA KUONGEZA FOLLOWERS INSTAGRAM 2022

Picha
JINSI YA KUONGEZA FOLLOWERS INSTAGRAM.πŸ“Έ  Instagram imekuwa mtandao ambao umekuwa mkubwa sana na maarufu duniani .leo tutazungumzia namna ya kuongeza Followers instagram . HATUA ZA KUONGEZA FOLLOWERS INSTAGRAM.  1.HAKIKISHA UNATUMIA INSTAGRAM USERNAME AMBAYO HAINA NAMBA NYINGI. Kuna username ambazo ziko fresh hazina namba mfano @Bongotechtz hii inakuwa fresh kwa maana instagram wanajua hauja boost followers japo kuwa hawa followers hawa shuki wala kupungua 100% real Followers.  2. INGIA GOOGLE AU CHROME SEARCH. Search website inayoitwa www.mixx.com hii website  itakusaidia kupata followers baada ya hapo utabonyeza alama ya mistari mitatu upande wa juu kulia . 3.BONYEZA FREE INSTAGRAM FOLLOWERS.  Apo ikisha bonyeza katika free followers   4.CHAGUA FREE TRIAL Hapo utapata followers bila ya kulipia yani ni "BURE"  5.Jaza username yako ya instagram ikianzia na alama ya @ mfano @Bongotechtz baada ya hapo ingiza na email yako ambayo utakayo tumia ila h...

SETTING MPYA ZA VPN YA WIRE TUN KATIKA MTANDAO WA TIGO

Picha
JINSI YA KUTUMIA VPN YA WIRE TUN KATIKA MTANDAO WA TIGO TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ. VPN YA WIRE TUN NI UNLIMITED KWA MTANDAO WA TIGO. VPN hii inatumia server ambazo zipo katika VPN hiyo haiitaji ku import file kama vpn zengine tunazo zijua kama Ha tunnel plus au NapsterVpn .  Hii inahitaji laini ya Tigo Tu ilikufanya kazi. Hivi karibu imekuwa ikigoma ku connect au ina connect kwa muda mfupi hii imekuwa tatizo sana hivyo basi leo nitawaletea namna ya ku connect VPN Yako Ya Wire Tun Bila Kusumbua tena . Namna ya ku connect VPN Yako Ya Wire Tun Kwa Tigo  1.Hakikisha ume update VPN yako Ya Wire Tun katika Playstore baada ya Kudownload.  Kisha fungua VPN Yako ilikuanza kuitumia ila kabla ya ku connect hakikisha unafanya hitu hivi . 2.Itabidi ufungue "add" access point zaidi ya moja ama APN Hii itakuwa kama moja ya setting ili kuweza ku ping server yako pindi inapogoma itabid uwe na APN zaidi ya tano hadi kumi ivi . 3.Baada ya kuwa na APN zaidi ya tano kabla ya ku connect hakikisha una r...

NapsterVpn unlimited

Picha
NapsterVpn unlimited  Unlimited imerudi tena kwa mtandao wa Airtel hakuna kugoma tena hii vpn inatoa unlimited Internet. Ila itabid uwe na file ambalo ni unlimited pia iwe na server yenye speed ⚡ kubwa kwa maana speed inategemea na server uliotumia na server kuwa na speed itabid isiwe busy yan isiwe na watumiaji wengi sana .katika server yenye uwezo wakuwa na account 100/100 basi luwa na speed⚡ itabidi wasizidi watu 50/100 ili iqeze kutoa speed kubwa . Jinsi ya kutumia hii VPN hii ya NapsterVpn . 1.Download Vpn Ya NapsterVpn katika Playstore.  2.Fungua VPN Yako Ya NapsterVpn kisha Update ndani ya Hiyo ili uweze kuwa na server zenye speed ⚡ na Mpya .  3.Unaweza tumia imported File ili kuweza kutumia internet yenye Speed maana NapsterVpn ipo katika mfumo 2a tunnel inahitaji imported File ili kufanya kazi  4.jinsi ya ku Import File lako kwenye NapsterVpn  Bonyeza iyo alama ya 🌐 5.Bonyeza option ya import npv4 config file  kisha utaweka file lako lita ji impo...

Rez Tunnel Plus

Picha
Rez Tunnel Plus Unlimited.  Hii ni VPN ya kutumia katika Mtandao wa Airtel Tanzania ni VPN ambayo inatoa free internet.   Jinsi ya Kudownload Rez Tunnel Plus  1.Ingia Playstore ili kuweza Kudownload  2. Ukisha Download vpn yako Ya Rez Tunnel VPN  Ifungue kisha Update ili kupata new server. Update ukiwa ndani ya apk yako 2 . Ukisha Download vpn yako Ya Rez Tunnel VPN  Ifungue kisha Update ili kupata new server. Update ukiwa ndani ya apk yako 3.Download  file zake katika Group letu la Telegram πŸ‘‰ https://t.me/bongotechtz   Ashante kwa kutazama 😎