VPN ya Airtel Tanzania Http Custom
VPN MPYA YA AIRTEL TANZANIA HII APA!!
VPN mpya Kwa Mtandao wa Airtel Tanzania ni Http Custom VPN hii ni vpn ambayo hutumia File kwa ajili yakuwezesha Mtumiaji kutumia Free Internet kupitia Host zinazotoa free internet.
Hii VPN Ambayo ina speed kulingana na server unayotumia mfano server za USA na India Hizi Server zinawatumiaji wengi sana kulingana na speed yake na hizi nchi ni maarufu sana kwahiyo watu hutumia server hizo ili kupata speed ⚡ ila kuna nchi amabazo zinawatumiaji wachache na speed kubwa .
Jinsi ya kutumia VPN Ya Http Custom VPN.
1.Download Vpn Ya Http Custom VPN katika Playstore.
2.Kisha update VPN yako Kabla ya kutumia.
3.Download file zake katika Group letu la Telegram π Https://t.me/bongotechtz
4.Import File lako katika VPN yako hakikisha hujatumia VPN kabla unaweza kutumia siku mpya ambayo hujachanganya na VPN nyengine.
5.Password: 2503 kwa File zote za Http Custom VPN
Unaweza kujua VPN BORA TANZANIA.
Ahsante

Maoni
Chapisha Maoni