Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Desemba, 2022

JINSI YA KUONGEZA FOLLOWERS INSTAGRAM 2022

Picha
 JINSI YA KUONGEZA FOLLOWERS INSTAGRAM.  Instagram imekuwa mtandao ambao umekuwa mkubwa sana na maarufu duniani .leo tutazungumzia namna ya kuongeza Followers instagram .     INSTAGRAM FOLLOWERS

JINSI YA KUONGEZA FOLLOWERS INSTAGRAM 2022

Picha
JINSI YA KUONGEZA FOLLOWERS INSTAGRAM.πŸ“Έ  Instagram imekuwa mtandao ambao umekuwa mkubwa sana na maarufu duniani .leo tutazungumzia namna ya kuongeza Followers instagram . HATUA ZA KUONGEZA FOLLOWERS INSTAGRAM.  1.HAKIKISHA UNATUMIA INSTAGRAM USERNAME AMBAYO HAINA NAMBA NYINGI. Kuna username ambazo ziko fresh hazina namba mfano @Bongotechtz hii inakuwa fresh kwa maana instagram wanajua hauja boost followers japo kuwa hawa followers hawa shuki wala kupungua 100% real Followers.  2. INGIA GOOGLE AU CHROME SEARCH. Search website inayoitwa www.mixx.com hii website  itakusaidia kupata followers baada ya hapo utabonyeza alama ya mistari mitatu upande wa juu kulia . 3.BONYEZA FREE INSTAGRAM FOLLOWERS.  Apo ikisha bonyeza katika free followers   4.CHAGUA FREE TRIAL Hapo utapata followers bila ya kulipia yani ni "BURE"  5.Jaza username yako ya instagram ikianzia na alama ya @ mfano @Bongotechtz baada ya hapo ingiza na email yako ambayo utakayo tumia ila h...

SETTING MPYA ZA VPN YA WIRE TUN KATIKA MTANDAO WA TIGO

Picha
JINSI YA KUTUMIA VPN YA WIRE TUN KATIKA MTANDAO WA TIGO TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ. VPN YA WIRE TUN NI UNLIMITED KWA MTANDAO WA TIGO. VPN hii inatumia server ambazo zipo katika VPN hiyo haiitaji ku import file kama vpn zengine tunazo zijua kama Ha tunnel plus au NapsterVpn .  Hii inahitaji laini ya Tigo Tu ilikufanya kazi. Hivi karibu imekuwa ikigoma ku connect au ina connect kwa muda mfupi hii imekuwa tatizo sana hivyo basi leo nitawaletea namna ya ku connect VPN Yako Ya Wire Tun Bila Kusumbua tena . Namna ya ku connect VPN Yako Ya Wire Tun Kwa Tigo  1.Hakikisha ume update VPN yako Ya Wire Tun katika Playstore baada ya Kudownload.  Kisha fungua VPN Yako ilikuanza kuitumia ila kabla ya ku connect hakikisha unafanya hitu hivi . 2.Itabidi ufungue "add" access point zaidi ya moja ama APN Hii itakuwa kama moja ya setting ili kuweza ku ping server yako pindi inapogoma itabid uwe na APN zaidi ya tano hadi kumi ivi . 3.Baada ya kuwa na APN zaidi ya tano kabla ya ku connect hakikisha una r...

NapsterVpn unlimited

Picha
NapsterVpn unlimited  Unlimited imerudi tena kwa mtandao wa Airtel hakuna kugoma tena hii vpn inatoa unlimited Internet. Ila itabid uwe na file ambalo ni unlimited pia iwe na server yenye speed ⚡ kubwa kwa maana speed inategemea na server uliotumia na server kuwa na speed itabid isiwe busy yan isiwe na watumiaji wengi sana .katika server yenye uwezo wakuwa na account 100/100 basi luwa na speed⚡ itabidi wasizidi watu 50/100 ili iqeze kutoa speed kubwa . Jinsi ya kutumia hii VPN hii ya NapsterVpn . 1.Download Vpn Ya NapsterVpn katika Playstore.  2.Fungua VPN Yako Ya NapsterVpn kisha Update ndani ya Hiyo ili uweze kuwa na server zenye speed ⚡ na Mpya .  3.Unaweza tumia imported File ili kuweza kutumia internet yenye Speed maana NapsterVpn ipo katika mfumo 2a tunnel inahitaji imported File ili kufanya kazi  4.jinsi ya ku Import File lako kwenye NapsterVpn  Bonyeza iyo alama ya 🌐 5.Bonyeza option ya import npv4 config file  kisha utaweka file lako lita ji impo...

Rez Tunnel Plus

Picha
Rez Tunnel Plus Unlimited.  Hii ni VPN ya kutumia katika Mtandao wa Airtel Tanzania ni VPN ambayo inatoa free internet.   Jinsi ya Kudownload Rez Tunnel Plus  1.Ingia Playstore ili kuweza Kudownload  2. Ukisha Download vpn yako Ya Rez Tunnel VPN  Ifungue kisha Update ili kupata new server. Update ukiwa ndani ya apk yako 2 . Ukisha Download vpn yako Ya Rez Tunnel VPN  Ifungue kisha Update ili kupata new server. Update ukiwa ndani ya apk yako 3.Download  file zake katika Group letu la Telegram πŸ‘‰ https://t.me/bongotechtz   Ashante kwa kutazama 😎

VPN ya Airtel Tanzania Http Custom

Picha
VPN MPYA YA AIRTEL TANZANIA HII APA!! VPN mpya Kwa Mtandao wa Airtel Tanzania ni Http Custom VPN hii ni vpn ambayo hutumia File kwa ajili yakuwezesha Mtumiaji kutumia Free Internet  kupitia Host zinazotoa free internet.  Hii VPN Ambayo ina speed kulingana na server unayotumia mfano server za USA na India Hizi Server zinawatumiaji wengi sana kulingana na speed yake na hizi nchi ni maarufu sana kwahiyo watu hutumia server hizo ili kupata speed ⚡ ila kuna nchi amabazo zinawatumiaji wachache na speed kubwa . Jinsi ya kutumia VPN Ya Http Custom VPN.  1.Download Vpn Ya Http Custom VPN katika Playstore. 2.Kisha update VPN yako Kabla ya kutumia.  3.Download file zake katika Group letu la Telegram πŸ‘‰ Https://t.me/bongotechtz   4.Import File lako katika VPN yako hakikisha hujatumia VPN kabla unaweza kutumia siku mpya ambayo hujachanganya na VPN nyengine. 5.Password: 2503 kwa File zote za Http Custom VPN  Unaweza kujua VPN BORA TANZANIA.  Ahsante 

VPN BORA TANZANIA 2022

Picha
VPN (Virtual Private Network) hii ni app ambazo zinasaidia watu kupata Internet ya Bure . VPN imekuwa maarufu sasa Tanzania na watu wengi baada yakujua kuwa VPN zinatoa free internet wamekuwa wavivu sana kununua bando😁 .ila nikweli maana bando imekuwa bei juu sana . Kwa leo nitazungumzia VPN Bora zinazotoa internet ya bure Tanzania.  1.Ha tunnel plus. Hii ni VPN maarufu sana hapa nchini Tanzania baada ya kuwa VPN ambayo inatoa free internet pia inatoa file za internet kwa baadhi ya mitandao . Hii vpn imekuwa na speed kubwa sana ⚡πŸ’― kulinganisha na VPN zingine .ila kwa sasa vpn hii imekuwa ina support mtandao wa Airtel kwa sana kulinganisha na mitandao mingine .ukitaka kutumia VPNya uhakika katika simu yako ni bora kutumia VPN hii kwa Mtandao wa Airtel. Pia kuna file ambazo zinahitajika kwa sasa katika VPN hii kwa maana Airtel imefungia host za VPN hii kutoa free internet kwahiyo inahitaji file ambazo ziko na host wa free internet. File hizi zinapatikana katika group letu la Teleg...

VPN mpya ya Airtel Free internet Tanzania unlimited working ⚡πŸ’―

Picha
VPN mpya ya Airtel Free internet Tanzania unlimited working ⚡πŸ’― Hii Vpn ni kwa Mtandao wa Airtel .😁 Fuata Hatua Hizi Ili kupata free internet. 1.Download apk ya EF Tunnel plus 2.Fungua Apk kisha Update iyo Apk yako kisha update 3.Unaweza kuunganisha kwa kutumia free internet sever zilizokuwa katika Vpn Hiyo 4.Kisha Chagua Server ya Nigeria MTN Nigeria 500/day  5.Unaweza Kutumia mbs 500 au zaid kwa siku kulingana na aina ya simu NB: Vpn hii inapenda 4G connection Tazama Video YouTube  Comment tatizo au kama umefanikiwa ku connect katika hiyo vpn 😎 Jiunge Telegram Kwa msaada zaidi πŸ‘‡ https://t.me/bongotechtz/

Jinsi ya kutumia Wire Tun VPN 2022 kupata free internet Tanzania.

Picha
Jinsi ya kutumia  Wire Tun VPN 2022 kupata free internet Tanzania. Hii Vpn ni kwa Mtandao wa Tigo .😁 Fuata Hatua Hizi Ili kupata free internet. 1.Download apk ya Wire Tun 2.Fungua Apk kisha Update iyo Apk yako 3.Unaweza kuunganisha kwa kutumia free internet sever zilizokuwa katika Vpn Hiyo ( slow) 4 Hakiksha ume update VPN yako Kabla ya Kutumia 5.Unaweza Kutumia mbs 1000 au zaid kwa siku kulingana na aina ya simu  (unlimited data) NB: Vpn hii inapenda sana simu za infinix Redmi na vivo na Tecno ila kwa wenzangu wa iphone na samsung  mtasubili kidogo japokuwa hautaweza kuzidisha zaidi ya mbs 500/siku 😁 Tazama Video YouTube  Comment tatizo au kama umefanikiwa ku connect katika hiyo vpn 😎 Jiunge Telegram Kwa msaada zaidi πŸ‘‡ https://t.me/bongotechtz/

Jinsi ya kutumia Ha tunnel plus 2022 kupata dree internet Tanzania

Picha
  Jinsi ya kutumia Ha tunnel  plus 2022 kupata free internet Tanzania . Hii Vpn ni kwa Mtandao wa Airtel .😁 Fuata Hatua Hizi Ili kupata free internet. 1.Download apk ya ha tunnel plus 2.Fungua Apk kisha Update iyo Apk yako 3.Unaweza kuunganisha kwa kutumia free internet sever zilizokuwa katika Vpn Hiyo ( slow) 4.Tumia imported File katika Vpn Ya Ha tunnel plus ili kuweza kupata Intern et yenye Kasi . File πŸ‘‰  https://t.me/bongotechtz/3 5.Unaweza Kutumia mbs 300 au zaid kwa siku kulingana na aina ya simu NB: Vpn hii inapenda sana simu za infinix Redmi na vivo na Tecno ila kwa wenzangu wa iphone na samsung  mtasubili kidogo japokuwa hautaweza kuzidisha zaidi ya mbs 300/siku 😁 Tazama Video YouTube Comment tatizo au kama umefanikiwa ku connect katika hiyo vpn 😎 Jiunge Telegram Kwa msaada zaidi πŸ‘‡ https://t.me/bongotechtz/