JINSI YA KUONGEZA FOLLOWERS INSTAGRAM 2022
JINSI YA KUONGEZA FOLLOWERS INSTAGRAM.πΈ
![]() |
Instagram imekuwa mtandao ambao umekuwa mkubwa sana na maarufu duniani .leo tutazungumzia namna ya kuongeza Followers instagram .
HATUA ZA KUONGEZA FOLLOWERS INSTAGRAM.
1.HAKIKISHA UNATUMIA INSTAGRAM USERNAME AMBAYO HAINA NAMBA NYINGI.
Kuna username ambazo ziko fresh hazina namba mfano @Bongotechtz hii inakuwa fresh kwa maana instagram wanajua hauja boost followers japo kuwa hawa followers hawa shuki wala kupungua 100% real Followers.
2. INGIA GOOGLE AU CHROME SEARCH.
Search website inayoitwa www.mixx.com hii website itakusaidia kupata followers baada ya hapo utabonyeza alama ya mistari mitatu upande wa juu kulia .
3.BONYEZA FREE INSTAGRAM FOLLOWERS.
Apo ikisha bonyeza katika free followers
4.CHAGUA FREE TRIAL
Hapo utapata followers bila ya kulipia yani ni "BURE"
5.Jaza username yako ya instagram ikianzia na alama ya @ mfano @Bongotechtz baada ya hapo ingiza na email yako ambayo utakayo tumia ila hiyo email isiwe imeunganisha na instagram maana itakuwa rahisi ku block akaunti yako .
6.Hakikisha akaunti yako ni public na sio Private account kisha bonyeza "continue" baada ya hapo iitakuja sehemu ya ku "signup" ili kujiunga ambapo utatumia email ulioandika mara ya kwanza baada ya hapo utajaza na "password" ila usitumie ile ya instagram tumia password yoyote.
7.Baada ya hapo bonyeza "submit order" hapo itakuwa tayari subili ndani ya dk 1 Followers itakuwa
NB:HAKIKISHA UNAWEKA AKAUNTI YAKO PUBLIC NA SIO PRIVATE UNAWEZA RUDIA HATUA HIZI KILA BAADA YA DK 10 ILI INSTAGRAM WA SI BAN AKAUNTI YAKO.
AHSANTE π
JIUNGE TELEGRAM KUPATA TAARIFA ZAIDI
TEMEBELEA YOUTUBE CHANNEL YETU KUPATA MAUJANJA ZAIDI. π










Maoni
Chapisha Maoni