Jinsi ya kutumia Wire Tun VPN 2022 kupata free internet Tanzania.
Jinsi ya kutumia Wire Tun VPN 2022 kupata free internet Tanzania.
Hii Vpn ni kwa Mtandao wa Tigo .π
Fuata Hatua Hizi Ili kupata free internet.
1.Download apk ya Wire Tun2.Fungua Apk kisha Update iyo Apk yako
3.Unaweza kuunganisha kwa kutumia free internet sever zilizokuwa katika Vpn Hiyo ( slow)
4 Hakiksha ume update VPN yako Kabla ya Kutumia
5.Unaweza Kutumia mbs 1000 au zaid kwa siku kulingana na aina ya simu (unlimited data)
NB: Vpn hii inapenda sana simu za infinix Redmi na vivo na Tecno ila kwa wenzangu wa iphone na samsung mtasubili kidogo japokuwa hautaweza kuzidisha zaidi ya mbs 500/siku π
Tazama Video YouTube
Comment tatizo au kama umefanikiwa ku connect katika hiyo vpn π

Maoni
Chapisha Maoni