NapsterVpn unlimited
NapsterVpn unlimited
Unlimited imerudi tena kwa mtandao wa Airtel hakuna kugoma tena hii vpn inatoa unlimited Internet. Ila itabid uwe na file ambalo ni unlimited pia iwe na server yenye speed ⚡ kubwa kwa maana speed inategemea na server uliotumia na server kuwa na speed itabid isiwe busy yan isiwe na watumiaji wengi sana .katika server yenye uwezo wakuwa na account 100/100 basi luwa na speed⚡ itabidi wasizidi watu 50/100 ili iqeze kutoa speed kubwa .
Jinsi ya kutumia hii VPN hii ya NapsterVpn .
1.Download Vpn Ya NapsterVpn katika Playstore.
2.Fungua VPN Yako Ya NapsterVpn kisha Update ndani ya Hiyo ili uweze kuwa na server zenye speed ⚡ na Mpya .
3.Unaweza tumia imported File ili kuweza kutumia internet yenye Speed maana NapsterVpn ipo katika mfumo 2a tunnel inahitaji imported File ili kufanya kazi
4.jinsi ya ku Import File lako kwenye NapsterVpn
Bonyeza iyo alama ya ๐
5.Bonyeza option ya import npv4 config file kisha utaweka file lako lita ji import automatically
5.Kisha baada ya apo uta connect na speed itakuwa inaenda kama ivi NB:Speed inatoka na server unayotumia .
Baada ya apo itabid utumie laini ya Airtel ili kufurahia freeinternet.
Unaweza kupata file zako za NapsterVpn hapa ๐ https://t.me/bongotechtz
NB:KUMBUKA FILE ZINA EXPIRE BAADA YA MUDA WAKE IVYO INAHITAJIKA KUPATA FILE MPYA ILI KUWEZA KUPATA HUDUMA .
TEMBELEA YOUTUBE CHANNEL YETU KUPATA MAUJANJA ZAIDI.๐
https://youtube.com/@bongotechswahili




Maoni
Chapisha Maoni