SETTING MPYA ZA VPN YA WIRE TUN KATIKA MTANDAO WA TIGO

JINSI YA KUTUMIA VPN YA WIRE TUN KATIKA MTANDAO WA TIGO TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.



VPN YA WIRE TUN NI UNLIMITED KWA MTANDAO WA TIGO.

VPN hii inatumia server ambazo zipo katika VPN hiyo haiitaji ku import file kama vpn zengine tunazo zijua kama Ha tunnel plus au NapsterVpn

Hii inahitaji laini ya Tigo Tu ilikufanya kazi.
Hivi karibu imekuwa ikigoma ku connect au ina connect kwa muda mfupi hii imekuwa tatizo sana hivyo basi leo nitawaletea namna ya ku connect VPN Yako Ya Wire Tun Bila Kusumbua tena .

Namna ya ku connect VPN Yako Ya Wire Tun Kwa Tigo 

1.Hakikisha ume update VPN yako Ya Wire Tun katika Playstore baada ya Kudownload. 

Kisha fungua VPN Yako ilikuanza kuitumia ila kabla ya ku connect hakikisha unafanya hitu hivi .



2.Itabidi ufungue "add" access point zaidi ya moja ama APN Hii itakuwa kama moja ya setting ili kuweza ku ping server yako pindi inapogoma itabid uwe na APN zaidi ya tano hadi kumi ivi .



3.Baada ya kuwa na APN zaidi ya tano kabla ya ku connect hakikisha una restart simu au zima kisha subili zaidi ya dk 1 baada ya apo washa simu yako tena .

4.Ingia katika VPN yako Ya Wire Tun kisha chagua server usitumie ile yenye alama ya motoπŸ”₯ Hii server mara nyingi huwa na watu wengi sana chagua server napendekeza usichague USA πŸ‡ΊπŸ‡Έ tumia server za Canada πŸ‡¨πŸ‡¦  hizi huwa ana speed kubwa sana .



5.Bonyeza "connect" ili kuanza kutumia VPN Ya Wire Tun bila kusumbua 


NB:Hakikisha ikiwa inagoma una restart simu pia kuna baadhi ya simu zinagoma kama samsung huwa zinasumbua sana 

Ahsante πŸ™ Jiunge Telegram Kwa msaada zaidi https://t.me/bongotechtz

Tembelea YouTube channel Kupata Maujanja zaidi πŸ”₯

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

VPN mpya ya Airtel Free internet Tanzania unlimited working ⚡πŸ’―

VPN ya Airtel Tanzania Http Custom

VPN BORA TANZANIA 2022