JINSI YA KU DOWNLOAD GB WHATSAPP

NAMNA YA KUDOWNLOAD GB WHATSAPP 2023

WhatsApp imekuwa mtandao mkubwa sana na maarufu kutokana na uwezo wake wa usalama ambao unatumie end-end encryption ambayo Inasaidia Mazungumzo ama chats ziwe zasili zisiwe rahisi kufukuriwa(hacked) .



Ila mtandao wa WhatsApp kuna baadhi Ya Sifa ama features ambazo zinakuwepo mfano pindi unapo tuma ama kuweka status inakuwa inaoonekana katika watu ambao wana namba yako ya simu pia hawatakuwa na uwezo wa kuichukua ama kudownload status hiyo kutokana na Features hiyo haipo katika mtandao wa Whatsapp ama hautaweza kuangalia status bila kuonekana amna hautaweza kubadilisha theme ama muonekana wa Whatsapp yako .ila yotekwa yote mtetezi ni GB WHATSAPP.

GB WHATSAPP NINI?

Ni copy YA Whatsapp Ama nitoleo la App Ya Whatsapp ambayo imetengenezwa na Developer Wengine ambao sio wa Official WhatsApp ila system Account ni ile ile Ya whatsApp .

Mambo Unayoweza Kufanya Ukiwa Na App Ya GB WhatsApp .

1.Unaweza Kubadilisha Themes au Muonekanao wa App yako

2.Unaweza uka Download Status Ya Mtu YoYote bilaYeye Kujua.

3.Unaweza Kusoma sms au Kutazama Status bila kuonekana .

4.Unaweza ukaweka Lock ama password katika kila chats Ya Mtu.

5.Pia Unaweza Tazama Status Za Mtu aliyeku block

6.Unaweza ukaweka Video Profile.

7.Unaweza Ukabadilsha Fonts ama Muandiko katika app ya WhatsApp.

8.Uwezo wa kubadilsha mode ikiwemo dark ,light, purple ama mode Yoyote.


GB WHATSAPP DOWNLOADS .

JINA: GB WHATSAPP

UKUBWA : 52.3MB

TOLEO : JIPYA 

ANDROID VERSION: 5+


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

VPN mpya ya Airtel Free internet Tanzania unlimited working ⚡πŸ’―

VPN ya Airtel Tanzania Http Custom

VPN BORA TANZANIA 2022