TAZAMA MOVIES NA SERIES ONLINE BILA YA KULIPIA BUREE
JINSI YA KUTAZAMA MOVIES NA SERIES MTANDAONI BURE!!
Movies imekuwa mzozo sana katika kupatikana hasasa nazungumzia zile movies HD na Mpya Yani Movies inatoka mwaka huu unatazama baada Ya miaka miwili au mitatu iyo inakuwa sio vizuri movies ikitoka unaangalia mwezi na ama siku iyo iyo nasio habari za miaka ijayo.
Leo napenda kuongela website ambazo zinatoa free movies yan kutazama movies Bure bila Hata ya Kulipia π° . Pia usiwaze Kuhusu Bando Maana Tumeongelea namna Ya kupata internet Ya Bure Tanzania .
Katika kutazama movies kuna website ambazo zinatoa huduma hii inaitwa community licences hii ni huduma ya kutoa huduma bila ya kulipa maana kuna aina mbili za licences ya kulipia au Buree ama kitonga hivyo .leo napenda kutaja website ama tovuti zinazotoa Huduma Ya Kutazama Moviea Buree !!!
Kwa leo nitaanza na website tano bora ambazo zinatoa huduma hii.π¬
1.TubiTv
Hii ni website Ya Kwanza kwa leo kwa maana imekuwa ikitoa movies ambazo ni HD pia ambazo ni mpya pia ata zile za zamani pia zinapatikana .kuna movies kama vile Horror moves, sci-films ,Action Movies , Seriea .
2.PlexTv
Pia hii ni website mashughuli sana na utoaji wa movies ambazo ni kali.kutoka kila kona ya dunia.unaweza ukapata series kali ,movies, commedy, sexy au erotic movies (movies za madavidavi)
3.Justwatch
Hii ni wwbsite ambayo inayokupa movies kali kutoka katika Netflix, Ifix ,hooq na pia unaweza ukapata movies za MARVEL Bure. Hii inakuleta movies HD.
4.Sflix
Hii unaweza ukaiita Netflix Ya Mchongo π kwa maana movies zote za Netflix zinapatikana Hapa Tena Kwa HD sana Yan Hauna Haja Ya Kulipia Katika Mtandao Wa Nwtflix Kupata Movies .
5. 123Movies
Pia Hii ni website ambayo inatoa Huduma ya kuangalia Movies Online Bure Pia Hakuna Ads nyingi za kukufanya kuto enjoy movies .pia unaweza ukadownload Movies .
6.Vudu
Hii inatoa movies ambazo ni mpya na za zamani katika lugha mbalimbali ikiwemo English,Espanol,Frances ila kiswahili hamna kwa unaweza ukasubili mpaka Dj mack atafsri ππ .ila kuna subtittle ambazo zinakufanya uelewe movies
7.M4UHD
Kama unapenda movies HD basi hii nimoja Ya hizo Website ambazo zinatoa HD Movies ya kitu live bila chenga .Hii website pia inakuwezesha kudownload movies .
8.FILMZIE
Kwa Wale wapenzi wa film kali za kizungu kikorea ,kichina ,kihindi na kikorea basi hapa umepata hii website inatoa movies ,series kali na TV show yani kama Tamthilia .
9.New Version Theatres
Hii ni kama majumba ya cinema nimwendo wa kutazama movies yani bandika bandua kuna movies kali sana. Pia ni movies ambazo ni HD.
10.YIDIO
Hii ni kama YouTube ambayo inatoa huduma ya kutazama Movies .ina collection na playlist za movies kali za kila mwaka katika mfumo wa HD ,MP4 .
Hayo ndio nimeyaanda kwa leo karibu katika Group letu la Telegram kuoata Taarifa zaidi


Maoni
Chapisha Maoni